NMB YANG’ARA KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE 2012

 Nanena Dodoma
     
Banda la NMB Arusha 




 Banda la NMB Morogoro
Na Mwandisi Wetu  
Kilimo ndiyo shughuli kuuyauchumi Tanzania. NMB ikiwa benki yenye mtandao mpana zaidi Tanzania inatambua umuhimu wa kilimo kwa maendeleo ya Tanzania. Ili kuchochea maendeleo ya kilimo, NMB ilikuwa benki ya kwanza kuanzisha akaunti maalum kwa ajili ya wakulima iitwayo NMB Kilimo Account.   
Pia NMB imeanzisha huduma ya mikopo kwa ajili ya mazao mengi ya kilimo ikiwemo chai, kahawa, miwa, alizeti, korosho na mazao mengine.  
Ili kuelimisha umma juu ya huduma mbalimbali za kilimo NMB  inashiriki kwenye maonyesho ya NaneNane Morogoro, Dodoma, Arusha, Mbeya, Lindi na Songea, Tabora na Shinyanga.   
Akizungumza juu ya ushiriki wa NMB kwenye NaneNane Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NMB, Imani Kajula amesema, “NMB inatambua umuhimu wa kilimo kwa maendeleo ya Tanzania ndiyo maana NMB imekuwa mstari wa mbele kubuni bidhaa na huduma maalum za sekta ya kilimo.   
Mbali na ushiriki NMB ni moja ya wadhamini wa maonyesho ya kitaifa yanayofanyika Dodoma”.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.