*WADAU TUMUWEZESHE MISS EAST AFRICA BELGIUM 2012


Miss East Africa Belgium 2012
Miss Juliana Pierre, Mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya fainali za Miss East Africa Belgium yatakayofanyika tarehe 1 September 2012.
 Wadau na watanzania wote kwa ujumla, Dada yetu Juliana Pierre, anahitaji sana msaada wenu wa kuweza kumtangaza kwa ajili ya Fainali hizo alizoingia za Miss East Africa Belgium 2012.
Anahitaji kuweza kupata watu wengi zaidi kwenye ukurasa wake wa Facebook zaidi ya washiriki wenzake kwa kuingia na ku bonyeza "like" Bofya kwenye link hii chini: http://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012
 

Muunge mkono mwakilishi wetu huyu kwenye Fainali husika kwa kuongeza  idadi ya kufahamika kwake, kwani kuingia kwako na kubofya 'Like' tayari utakuwa umemuongezea kura zake kwa kuongeza idadi ya watu wanaoingia katika ukurasa wake.

''Juliana ameweza nasi, Tumuwezeshe Tusimuangushe''Tangaza Vipaji Vyetu,Tangaza Utalii Wetu, Tangaza Tanzania.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA