WAKENYA WALIOKUFA NA WALIOJERUHIWA WACHUKULIWA KWA MAGARI, NDEGE KURUDISHWA KWAO

Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo, Suzan Ngene kutoka Kenya, ambaye alivunjika mkono akiwa amefikishwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili Dar es Salaam jana, baada ya kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari manne, yakiwemo mabasi mawili na malori mawili katika Barabara ya Chalinze-Segera, eneo la Makole, mkoani Pwani. Watu 11 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa.(PICHA NA KHAMIS MUSSA)

MAGARI 7 NA NDEGE 2  KUTOKA KESNYA ZIMEKUJA KUCHUKUA MAITI NA MAJERUHI NA KUWARUSHA KWAO  JIONI HII.

 WAZIRI MKUU WA KENYA, RAILA ODINGA AMEISHUKURU SERIKALI YA TANZANIA, KWA HATUA YA KUWAHUDUMIA WAGONJWA.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.