CHINA YATUMA WATAALAMU TAZARA KUTAFITI NAMNA YA KUBORESHA RELI.
Mtafiti kutoka China Miao Zhong akimuonyesha Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu (kulia kwa aliyejishika jicho) njia ya reli ilipoanzia kwa upande wa Tanzania. Naibu Waziri Mkuu wa China alikuwa na ziara katika Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) leo asubuhi.Waziri wa Mwakyembe akimkaribisha Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu, katika Station ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA). Naibu Waziri Mkuu wa China alikuwa na Ziara ya kuangalia Namna Station hiyo inavyofanya kazi. Serikali ya China imetuma wataalamu kwa ajili ya kufanya utafiti wa namna ya kuboresha Mamlaka hiyo. Picha ya pamoja mbele ya Jengo la TAZARA.
Waziri wa Uchukuzi akisisitiza jambo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani),kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi,Mhandisi Omar Chambo na Kulia kwa Waziri ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, John Mngodo.

Comments