EDDAH AWA REDD'S MISS TEMEKE 2012

 Malkia wa Redd's Miss Tameke 2012, Edda Sylvester (katikati) akiwa na mshindi wa pili Flavian Maeda (kushoto) pamoja na Catherine Masumbigana aliyeshika nafasi ya tau katika kilele cha mashindano hayo, kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba, Dar es Salaam.  (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mwandaaji wa mashindano ya Redd's Miss Temeke 2012, Benny Kisaka wa Kampuni ya BMP Promotions, akitangaza washindi watatu wa mashindano hayo.
 Baadhi ya wapenzi wa urembo wakipiga picha za washindi wa mashindano hayo.
 Warembo watano walioingia tano bora wakiwa wamepozi baada ya kutangazwa katika mashindano ya kumsaka Malkia wa Redd's Miss Temeke, kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba, Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Jesca Haule,Flavian Maeda,Catherine Masumbigana, Edda Sylvester na Agness Gudluck.

 Bendi ya Mashujaa ikitumbuiza wakati wa mashindano hayo. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.