Skip to main content

Hongera dk. Joyce ndarichako, wizara ya elimu walimu wa sekondari kusimamia mtihani darasa la 7

Wanafunzi zaidi ya laki 8 wa darasa la 7 wataanza mitihani yao kesho. wanafunzi hao ni kutoka zaidi ya shule za msingi elfu 13 kote nchini.

Hatua ya walimu wa sekondari kutumika kusimamia mtihani huo ni ya kupongezwa kwani inaboresha usimamizi makini. Mwanafunzi bora wa elimu ya msingi anatendengeneza mwanafunzi bora wa sekondari. Natumaini walimu wa sekondari watakuwa makini ili wapate wanafunzi bora watakaochaguliwa kwenda sekondari.

Hatua ya mitihani kusahihishwa kwa kompyuta kama ilivyo kwa nchi zingine kama Ghana na Afrika kusini kutapunguza ' human errors' hasa malalamiko ya upendeleo. Wakati wa kusahihisha mtihani walikuwa wanahitajika waalimu zaidi ya 3000 kuwekwa kwenye kituo kimoja na kulipwa posho kwa siku 60 lakini sasa mtihani utasahihishwa kwa siku 21 tu kwa komptuta.

Kila jambo lina changamoto zake lakini huu ni mwanzo mzuri.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.