IGP MWEMA ATUA IRINGA KWA HELKOPTA KWENYE VURUGU

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspkta Jenerali Said Mwema (pichani), ameondoka mchana huu kwa helkopta ya jeshi hilo kwenda Iringa, ambako yametokea mauaji ya mwandishi wa habari wa Kituo cha Channel Ten,  Daud Mwangosi katika vurugu zilizotokea wakati Jeshi la Polisi liwatimua viongozi wa  Chadema pamoja na wafuasi wao wakati wa uzinduzi wa tawi enei la Nyororo, wilayni Mufindi.

Daud Mwangosi alikuwa miongoni mwa waandishi wa habari walikwenda jana kuripoti habari za Chadema. Inadaiwa alipigwa bomu na mmoja wa Askari wa FFU, kitendo kilichosababisha kifo chake.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.