Mkali wa Bongo Fleva, Seif Shabani ‘Matonya’ akipagawisha katika Usiku wa Fleva za Dhahabu ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ akifanya makamuzi katika Usiku wa Fleva za Dhahabu uliofanyika Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Ally Mohamed ‘Z-Anto’ akiwarusha mashabiki waliohudhuria ndani ya Dar Live.
Bi. Mwanahawa Ally wa East African Melody akitumbuiza katika Usiku wa Fleva za Dhahabu uliofanyika Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Kundi la New Zanzibar Stars Modern Taarab likiwapagawisha mashabiki.
Kundi la Ngoma za Asili la Nokalandima likionyesha makali yake.
Mwanasarakasi Lwiti Nzoa akionyesha ufundi.
….akizidi kuonyesha mbwembwe zake.
Matonya akiimba wimbo wa Vaileth na shabiki.
Mr Nice akizidi kuwapa raha mashabiki.
Z- Anto na kundi lake wakifanya mambo.
Zahir Hamis wa kundi la New Zanzibar Stars Modern Taarab akiwarusha roho mashabiki.
Msanii wa Kundi la Ngoma za Asili la Nokalandima akipagawisha.
WASANII Lucas Mkenda ‘Mr Nice’, Seif Shabani ‘Matonya’, Ally Mohamed ‘Z-Anto’, Bi. Mwanahawa Ally wa East African Melody, Kundi la Ngoma za Asili la Nakalandima na Kundi la New Zanzibar Stars Modern Taarab usiku wa kuamkia leo wamefunika vilivyo katika Usiku wa Fleva za Dhahabu uliofanyika kwenye ukumbi wa kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.

Read more: BongoCelebrity

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.