Meya Wa Manispaa Ya Ilala Mh. Jerry Silaa Akabidhi Kisima Cha Maji, Na Vifaa Vya Michezo Gongo la mboto

Mh. Jerry Silaa akimkabidhi seti ya vifaa vya michezo, mmoja kati ya manahodha wa timu zilizoshiriki ligi ya mpira wa miguu katika kata ya Gongo la Mboto ijulikanayo kama Jerry Super 8.
Mh. Jerry Silaa akichota maji kwenye kisima alichokikabidhi kwa wakazi wa mtaa wa Kilimo, kata ya Gongo la Mboto kama ishara ya kufunguliwa kwake rasmi , huku baadhi ya viongozi na wakazi wa mtaa huo wakishuhudia
Baadhi ya wakazi wa kata ya Gongo la Mboto wakimsikiliza kwa makini Diwani wa kata yao Mh. Jerry Silaa (hayupo pichani), wakati akiwakabidhi vifaa vya michezo pamoja na kisima cha maji
Diwani wa kata ya Gongo la Mboto Mh. Silaa akimkabidhi Bi. Hadija ambae ni mkazi wa mtaa wa        Kilimo, ndoo ya maji aliyoyachota kutoka katika kisima alichokikabidhi kwa wakazi wa mtaa huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.