MISS KINONDONI 2012 HUYU HAPA.

Mshindi wa shindano la Redds Miss Kinondoni Brigit Alfred Redds akiwapungia mkono mashabiki walioshuhudia shindano hilo jijini Dar es Salaam jana, kulia ni mshindi wa pili Diana George Hussein na mshindi watatu Irene David.
 Warembo walioshiriki shindano hilo wakiwa kwenye vazi la ufukweni mbele ya majaji na mashabiki wa shindano hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam usiku wa jana.
 Hii sio kiduku ni midundo ya kihindi mshiriki wa shindano hilo Brigit Alfred, akionyesha uwezo wake kwenye kucheza na kuibuka kidedea kwenye kipaji lakini pia aliibuka kidedea kwenye shindano hilo na kuwa Miss Kinondoni 2012.
 Mshindi tatu kwenye shindano hilo Irene David akiwa kwenye vazi la jioni.
Hawa ndio washiriki waliofika tano bora kutoka kushoto ni, Judith Sangu, Brigit Alfred, Diana George Hussein, Irene David na Kudra Lupatu.
 Mshindi wa shindano hilo Brigit Alfred akipunga mkono mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa shindano hilo.
Mshindi wapili kwenye Shindano hilo Diana George Hussein akiwa kwenye vazi la jioni.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.