MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE APATIKANA NI EUGENE FABIAN

Miss Eugene Fabian (katikati)kutokea mkoa wa Mara ndiye mshindi wa shindano la Redd,s Miss Lake Zone 2012,Lililofanyika usiku wa jana mjini kahama na kuwashirikisha warembo kutoka mikoa 6 ya kanda ya ziwa.

Redd's Miss Lake Zone 2012, Miss Eugene Fabian katika picha ya pamoja na mshindi wa pili na watatu katika shindano hilo ambalo warembo wa mkoa wa Kagera hawakuweza kutamba kabisa,ambapo nafasi ya tatu imechukuliwa na Miss Happiness Rweyemamu kutoka mkoa wa Shinyanga (pichani kushoto)na mshindi wa pili ni Miss Happiness Daniel(kulia) kutoka Mwanza. Washindi hawa watatu watawakilisha Kanda ya ziwa katika shindano la taifa linalotarajiwa kufanyika baadaye mwezi ujao. Zawadi kwa mshindi wa kwanza ni kitita cha shilingi Laki 7, mshindi wa pili laki 5 na mshindi wa tatu laki nne na nusu !!!

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI