NMB YAWAMWAGIA FEDHA WASHINDI WA BIBI BOMBA

 Mshindi wa kwanza wa shindano la Bibi Bomba, Veronica Matia (kushoto), akishukuru kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 5, kutoka kwa Meneja Mawasiliano wa Benki ya NMB, Josephine Kulwa, katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi watatu, Dar es Salaam leo. Shindano hilo lililoendeshwa na Televisheni ya Clouds kwa udhamini wa benki hiyo, lilifanyika kwa muda wa mwezi mmoja. Mshindi wa Pili Anna Indina alizawadiwa sh. mil 3 na Nasra Abdalah aliyetwaa nafasi ya tatu alipata sh. mil.1. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

                               Mshindi wa pili Anna Indina akizawadiwa sh. mil 3
 Mshindi wa tatu, Nasra Mohammed Abdallah kutoka Zanzibar,  akipatiwa sh. mil moja
                                          Viongozi wa NMB na Clouds TV wakiwa na washindi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.