SERENGETI YAMKABIDHI GARI, PAUL KESSY MSHINDI WA PROMOSHENI YA “VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO”

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Ephraium Mafuru kulia akihojiwa na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi gari kwa mshindi wa promosheni ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO Bw. Paul Kessy( hayupo pichani), kushoto ni meneja wa mipango na biashara SBL Bw. Bahati Singh.
Waandishi wa habari kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari wakimhoji mshindi wa gari Bw, Paul Kessy (yupo ndania ya gari) mara baada ya kukabidhiwa gari lake. 
Mkurugenzi wa masoko kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Ephraim Mafuru (katikati) akimkabidhi funguo za gari mshindi wa gari ya mwisho katika promosheni ya vumbua hazina chini ya kizibo iliyokuwa ikiendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti, bw. Paul Kessy (wa pili kulia), na meneja wa bia ya Serengeti Bw. Allan Chonjo (kulia), kushoto ni meneja wa mipango na biashara SBL,Bw. Bahati Singh.
Mkurugenzi wa masoko kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Ephraim Mafuru (kushoto) akimkabidhi kadi ya gari mshindi wa gari ya mwisho katika promosheni ya vumbua hazina chini ya kizibo iliyokuwa ikiendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti, Bw. Paul Kessy (katikati), na meneja wa bia ya Serengeti Bw. Allan Chonjo kulia. Chanzo; Full Shangwe Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.