TIGO YADHAMINI MAONESHO YA SARAKASI YA MAMA AFRIKA

 Msanii Mohamed Makauka 'Kasamende' akionesha minjonjo yake wakati Tigo wakitangaza udhamini wa maonesho ya Sarakazi ya Mama Afrika, Dar es Salaam.
 Mtaalamu wa Uhusiano na Udhamini wa Kampuni ya Tigo, Edward Shila (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu udhamini wao katika maonesho ya sarakasi ya Mama Afrika 'Tigo Mama Africa Circus' yatakayoanza Septemba 27 hadi Oktoba 4 mwaka huu katika Ukumbi wa Sinema wa Mwenge, Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Burudani ya Mancom, Innocent Magavila walioingia mkataba na Tigo kuendesha mashindano hayo. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa Tigo, Alice Maro. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Burudani ya Mancom, Innocent Magavila (kushoto) akielezea kuhusu maandalizi maonesho hayo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.