UTABIRI WA JADI WAENDELEZWA KILWA.

KAKAKUONA AJITOKEZA KILWA, Akimbilia mtungi wa gesi na kuilamba, ni baada ya kupangiwa vitu kadhaa.
 Kaka kuona akiwa kwenye mambo ya kimila wilayani kilwa kwaajili ya kufanya utabiri wa mwaka mzima, ambapo kwenye utabiri wake alikimbilia Compressor ya gesi na kuilamba, huku wilaya hiyo kila kukicha kukigundulika visima vipya vya gesi na tafiti bado zinaendelea.

Kaka kuona akielekea kwenye Compressor ya gesi ambapo alifika na kuanza kuilamba baada ya kupangiwa vitu mbalimbalui, Hivi karibuni wilayani humo kumegundulika hazina nyingine ya gesi nyingi huku makampuni kadhaa yakiendelea na utafiti kwenye wilaya hiyo, mbali na gesi iliyotayari kwenye matumizi ya Songosongo. Chanzo. Raha za Pwani

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.