WASHINDI REDD'S MISS TEMEKE 2012 WAZAWADIWA

 Washindi wa mashindano ya Redd's Miss Temeke 2012, wakiwa na furaha baada ya kukabidhiwa zawadi ya fedha taslimu na Mkurugenzi wa kampuni  ya BMP Promotions iliyoaandaa mashindano hayo,Benny Kisaka (hayumo pichani) katika hafla iliyofanyika, Dar es Salaam jana. Kutoka kulia ni Edda Sylvester (mshindi wa kwanza), Flavian Maeda (mshindi wa pili), Catherine Masumbigana (mshindi wa tatu) na Jesca Haule aliyeshika nafasi ya nne. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mkurugenzi wa BMP Promotions, wandaaji wa mashindano hayo, Benny Kisana akimkabidhi kitita cha sh. milioni moja, mshindi , Edda Sylvester.
                                                                 Edda akifurahia kupata zawadi hiyo
                                   Mshindi wa pili wa mashindano hayo, Flavian Maeda akizawadiwa sh. 800,000
 Mshindi wa tatu, Catherine akizawadiwa sh. 7oo,ooo

Mshindi wa nnse, Jesca Haule naye akizawadiwa  sh. 400,000

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.