WATANASHATI WATAKAOFANYA VIDEO MPYA YA DIAMOND WANAENDELEA NA USAILI MAALUM NYUMBANI LOUNGE.

Majaji wakifuatilia kwa umakini zoezi zima hili la kutafuta vijana watanashati ambao watakuwa kwenye video hiyo mpya  ya Diamond ambayo itashutiwa na kampuni ya I-View Media
Majaji wakifuatilia kwa umakini zoezi zima hili la kutafuta vijana watanashati ambao watakuwa kwenye video hiyo mpya ya Diamond
Mama yake Diamond na sister wa Diamond ndio wamewasili now hapa Nyumbani Lounge kwenye usahili wa video wa kupata watakaoonekana kwenye video mpya ya Diamond ambayo itashutiwa na kampuni ya I-View Media
Baadhi ya akinadada walioingia hatua yapili ya usaili huo. KWA HISANI YA DJ CHOKA.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI