JK AFUNGUA HOSPITALI YA OTRURUMETI ARUSHA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua jiwe la  Hospitali ya Olturumeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha jana .Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mgonjwa, Wilson Kivuyo (80) aliyelazwa katika Hospitali mpya ya Olturumeti aliyoifungua Halmashauri ya Wilaya ya Arusha jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha, Halifa Hidda. (NA MPIGAPICHA WETU)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA