JK AFUNGUA MKUTANO MKUU WA NANE WA CCM DODOMA
Sunday, November 11, 2012
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Kizota mjini
Dodoma kwa ajili ya kufungua Mkutano mkuu wa nane wa CCM, leo.Baadhi ya wajumbe ukumbini
wake wa viongozi
Waaliwa kutoka kutoka nchi za nje
Waalikwa kutoka vyama vya siasa hapa nchini
Wajumbe wakiwa wamesimama wakati wa wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano huo
Watu waliokuwa nje ya ukumbi wakifuatilia kwenye banda maalu






Comments