KAMATI YA SERENGETI YAKUSANYA MZIGO WA KUTOSHA KUISHINDISHA TIMU

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Saidia Serengeti Boys Ishinde, Kassim Mohamed Dewji akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Serengeti, ndani ya hoteli ya JB Bellmonte, katikati ya Jiji la Dar es Salaam asubuhi ya leo kuhusu maandalizi ya mechi ya Jumapili dhidi ya Kongo Brazzaville, kuwania tiketi ya kucheza Fainali za U-17 Afrika. Dewji amesema Kamati yake imefanikiwa kukusanya Sh. Milioni 35 kati ya Milioni 60 zinazotakiwa kwa maandalizi ya mchezo huo wa kwanza. Wengine kulia ni Henry Tandau, Katibu wa Kamati na kushoto, Angetile Osiah, Mjumbe wa Kamati.  

Mjumbe wa Kamati, Abdallah Ahmad Bin Kleb 

Kutokas kulia Bin Kleb, Tandau, Dewji, Osiah na Mjumbe mwingine wa Kamati, Salim Abdallah

Salim Abdallah kushoto na Osiah kulia

Makamu Mwenyekiti wa Kamati, KD akizungumza kwa simu na Mwenyekiti wake, Ridhiwani Kikwete ambaye hakuhudhuria mkutano kwa sababu yupo msibani kwao Bagamoyo.KWA HISANI YA BIN ZUBEIRY BLOG

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA