KINANA NA KIKOSI CHA MAANGAMIZI CCM CHAWASILI MTWARA



  Kinana akisalimia wana-CCM baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa Mtwara leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara  Mohamed Sinani.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akiwahutubia viongozi wa CCM ngazi mbalimbali mkoani Mtwara, alipokutana nao kwenye Ukumbi wa Makonde  leo, akiwa katika ziara ya siku moja kutembelea mashina na matawi ya CCM na kufanya mikutano ya hadhara mkoani humo. (PICHA NA BASHIR NKOROMO)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA