MABINGWA WA BALIMI BOAT RACE MWANZA WAPATIKANA

 Mabingwa wa Mashindano ya Mitumbwi ya Balimi mkoa wa Mwanza, timu ya Cheka na Wengi kutoka Misungwi, wakiwasili ufukweni baada ya kuongoza mbio hizo zilizofanyika Mwaloni mkoani humo juzi. (Na Mpiga Picha Wetu)
 Daniel Mugeng'a Nahodha wa Timu ilishinda wa naume kutoka Misungwi akionyesha kitita cha kaki tisa baada ya kukabidhiwa
Mabingwa wa mashindano ya Mitumbwi ya Balimi (Balimi Boat Race) Mkoani Mwanza upande wa wanawake timu ya Wanawake na Maendeleo kutoka Misungwi wakiwa hawaamini kama wameweza kushinda kwa kuwaacha mbali wenzao na kuwa mabingwa wa mkoa huo na kukabidhiwa jumla ya shilingi laki saba (700,000) kama zawadi ya ushindi wa kwanza.
 Wapiga makasia  wakinyosha makasia yao juu kabla ya kuanza kwa fainali za mashindano ya mitumbwi ya Balimi (Balimi Boat Race) yaliyofanyika jijini Mwanza 
 Mabingwa wa ngoma za asili wa mashindano ya ngoma ya kanda ya ziwa kikundi cha Bujora wakitumbuiza mashabiki wa mashindano ya mitumbwi yaliyofanyika kwenye fukwe za Mwaloni Mkoani Mwanza ambapo washindi watawakilisha mkoa huo kwenye fainali wamepatikana.
 Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL akiteta jambo na Afisa Utamaduni na Michezo wa Manispaa ya Ilemela wakati wa mashindano ya Mitumbwi ya Balimi (Balimi Boat Race) yaliyofanyika Mkoani Mwanza.
Msanii wa kikundi cha ngoma cha Bujora akichezea nyoka kwa kuingiza kichwa mdomoni wakati wakitumbuiza watu waliofika kushuhudia mashindano ya mitumbwi ya Balimi (Balimi Boat Race) yaliyofanyika Mwaloni Mkoani Mwanza
 Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL Fimbo Butallah, akimuelekeza jambo Nahodha wa timu ya Wanawake na Maendeleo ya Misungwi, Tabu Daudi, ambao ndio washindi wa kwanza kwa upande wa wanawake Mkoa wa Mwanza mara baada ya kukabidhiwa zawadi yao ya ushindi wa kwanza kitita cha shilingi laki saba (700,000).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.