MUUMINI AITOSA TWANGA PEPETA AIBUKIA VICTORIA SOUND


Na Asha Bani

Aahidi kufanya kila analoweza kuipandisha chati bendi hiyo na kutamba kama nyingine huku akikiri kuwa na changamoto kubwa kuondoka Twanga na kuhamia bendi ndogo ya Victoria, jambo linalomfanya ajiumize ili kulilinda jina lake.

 MWANAMUZIKI nyota wa dansi Tanzania, Mwinjuma Muumini, ametangaza rasmi kuondoka Twanga Pepeta na kujiunga na bendi ya Victoria Sound ya jijini Dar es Salaam.

Muumini aliyepata kuwika na bendi mbalimbali hapa nchini zikiwamo Mchinga Sound na Double M, alisema jijini Dar es Salaam jana kwamba, ameingia mkataba wa miaka miwili na Victoria Sound.

Aliongeza, atafanya kila analoweza kuipandisha chati bendi hiyo na kutamba kama nyingine huku akikiri kuwa na changamoto kubwa kuondoka Twanga na kuhamia bendi ndogo ya Victoria, jambo linalomfanya ajiumize ili kulilinda jina lake.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA