Nov
27
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo
la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongoza harambe ya kuchangia ujenzi wa
bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji,
kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini Tanzania,Jimbo la Kusini
Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.Katika Harambee hiyo,Mh.
Lowassa pamoja na marafiki zake wakiweza kuchangia sh millioni 25
kusaidia ujenzi huo.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo
la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiendesha harambe ya kuchangia ujenzi wa
bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha
Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.Kulia
ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe,Mh. Cripin Meela.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo
la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimuhamasisha mmoja wa waalikwa kuchangia
katika harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika
Chuo Kikuu cha
Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo
la Monduli,Mh. Edward Lowassa (wa pili kushoto) akifurahia jambo wakati
alipokuwa katika Mazungumzo na Askofu Kiongozi wa Kanisa la Moravian
Tanzania (KMT), Askofu Alinikisa Cheyo (kushoto) wakati wa hafla ya
harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo
Kikuu cha
Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya..
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo
la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiagana na viongozi mbalimbali wa Chuo
hicho mara baada ya kuongoza harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la
wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha
Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.
Comments