RAIS KIKWETE AZINDUA MIRADI YA BARABARA MANYONI-ITIGI-CHAYA NA ISSUNA-MANYONI MKOANI SINGIDA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa serikali na wa kampuni ya ujenzi baada ya kuzindua ujenzi wa Barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya mkoani Singida leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua  ujenzi wa Barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya mkoani Singida leo. Pembeni yake kulia ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa  Barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya mkoani Singida leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua ujenzi wa Barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya mkoani Singida leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi barabara ya Issuna-Manyoni akiwa na viongozi wa serikali na wa TANROADS pamoja na wabunge wa mkoa wa Singida 
Sehemu ya barabara mpya karibu na mji wa Manyoni iliyozinduliwa leo na Rais Kikwete
 
Sehemu ya barabara mpya iliyozinduliwa na Rais Kikwete karibu na mji wa Katesh mkoani Manyar

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA