RAIS WA ZANZUBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AREJEA NCHINI AKITOKEA VIETNAM ALIKOKUWA KWA ZIARA YA KISERIKALI..

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akivalishwa Shada la mauwa alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wa Zanzibar,akirejea Nchini kutoka ziara ya Kiserikali nchini Vietnam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwasalimia Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakati wa mapokezi alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wa Zanzibar,akirejea Nchini kutoka ziara ya Kiserikali nchini Vietnam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali nchini alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wa Zanzibar,akirejea Nchini kutoka ziara ya Kiserikali nchini Vietnam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA