Skip to main content


UHURU MARATHON ZATAMBULISHWA RASM BUNGENI

Mkurugenzi wa kampuni ya Intellectuals Communication Limited Innocent Melleck akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mh Anna Makinda mara baada ya kikao cha bunge ambapo spika alitambulisha Rasmi Bungeni juu ya uzinduzi wa Mbio za Uhuru wa Tanzania zenye lengo la kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kukumbuka,kuzingatia na kuunzi urithi waliachiwa na viongozi waasisi wa Uhuru wa Tz ambao ni Upendo,Mshikamano,Umoja na Amani iliyopo.
 Mkurugenzi wa kampuni ya Intellectuals Communication Limited Innocent Melleck (kulia) akibadilishana mawazo na Mnadhimu Mkuu wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni na mbunge wa Singida, Tindu Lissu mara baada ya kikao cha bunge ambapo spika alitambulisha Rasmi Bungeni juu ya uzinduzi wa Mbio za Uhuru wa Tanzania zenye lengo la kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kukumbuka,kuzingatia na kuunzi urithi waliachiwa na viongozi waasisi wa Uhuru wa Tz ambao ni Upendo,Mshikamano,Umoja na Amani iliyopo.
Mkurugenzi wa kampuni ya Intellectuals Communication Limited Innocent Melleck kulia akiwa na Naibu waziri wa Nishati na Madini Simbachawene mara baada ya kikao cha bunge ambapo spika alitambulisha Rasmi Bungeni juu ya uzinduzi wa Mbio za Uhuru wa Tanzania zenye lengo la kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kukumbuka,kuzingatia na kuunzi urithi waliachiwa na viongozi waasisi wa Uhuru wa Tanzania ambao ni Upendo,Mshikamano,Umoja na Amani iliyopo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA