Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano wa kukusanya maoni ya Wabunge kuhusu Katiba Mpya mjini Dodoma juzi Jumamosi, Novemba 3, 2012. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba, Makamu wake Jaji Augustino Ramadhani na Katibu wa Tume Bw. Assaa Rashid.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiongea kabla ya kuanza kwa mkutano wa mkutano wa kukusanya maoni ya Wabunge kuhusu Katiba Mpya mjini Dodoma juzi Jumamosi, Novemba 3, 2012. Kulia kwake ni Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda na kushoto ni Makamu wake Jaji Augustino Ramadhani na Katibu wa Tume Bw. Assaa Rashid.
  Mbunge wa Bunda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano) Mhe. Steven Wassira akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano huo.
Mbunge wa Dole Mhe. Sylvester Mabumba akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano huo.
  Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA)Mhe. Zitto Kabwe akitoa maoni yake katika mkutano huo.
  Meza kuu ilivyokuwa katika mkutano huo.
By
 Omega S. Ngole,
Principal Information Officer,
Constitutional Review Commission (Tanzania),
Ohio Street,
PO Box 1681,
Dar es Salaam,
Tel: +255 (0) 22 2133425,
Fax: +255 (0) 22 2133442,
Mobile: +255 (00 757 500800,
Website: www.katiba.go.tz

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA