WAZIRI NCHIMBI KUZINDUA NAMBA MPYA ZA MAGARI YA MAGEREZA


WAZIRI WA MAMBO YA NDANI, EMMANUEL NCHIMBI
 DAR ES SALAAM, Tanzania

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi uzinduzi wa namba mpya za magari ya Jeshi la Magereza. kesho kutwa Novemba 24.
Kwa mujibu wa taarifa iliyosambazwa kwenye vyombo vya habari na kusainiwa na Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza (CP), Chamulesile, ilieleza kuwa uzinduzi huo utafanyika kuanzia saa 4:00 asubuhi katika Gereza Kuu la Ukonga jijini Dar es Salaam.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa uzinduzi huo unazingatia Sheria ya Usalama Barabarani Sura ya 162 iliyofanyiwa marekebisho ya kanuni ya Usalama Barabarani (Amendment, ya 2004).
Taarifa hiyo ilisema kuwa, marekebisho hayo yalitangazwa kwenye Gazeti la Serikali Na.102 la Machi 23 mwaka huu, na yalitoa nguvu ya kisheria kwa magari ya Jeshi hilo kuanza kutumia namba mpya zenye jina la jeshi hilo la Magereza.
Aidha, magari ya Jeshi la Magereza yatatambulika kirahisi wakati wa kutekeleza majukum

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.