ZUHURA ISSA ATUNUKIWA SHAHADA YA SOCIOLOGY


Wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla hiyo.
.Baba mkubwa wa Zuhura Rajabu Ngalapa akitoa neno la shukurani kwa wageni waalikwa.
Zuhura akimvika joho mama yake ikiwa ni ishara ya upendo kwake kwa kumsomesha na kwamba hiyo ni heshima kwake.
.Zuhura akigongesha glasi yenye mvinyo na kaka yake Selemani.
Mhitimu wa Shahada ya kwanza ya  Sociology katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Zuhura Issa akiwa amepozi kwenye hafla ya kupongezwa iliofanyika ukumbi wa Miami Mwenge Dar es Salaam.

Baba mkubwa wa Zuhura Rajabu Ngalapa akiwa na mkewe Mwalimu Mary Anyitike kwenye hafla hiyo.
Zuhura akikata keki iliyoandaliwa kwa ajili ya sherehe yake.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.