UZINDUZI WA KITUO CHA POLISI VIGWAZA WAFANA KIBAHA

 MWENYEKITI wa Kijiji cha Vigwaza mwenye koti jeusi (Asili ya Kiarabu) akicheza ngoma aina ya Bigililo wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kituo cha Polisi cha Kata ya Vigwaza kilichofunguliwa mwishoni mwa wiki.(Picha na Mwenge Said)/
 MJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Vijijini Allen Bureta akizungumza na wanachama wa chama hicho wakakti alipofanya ziara ya kutoa shukrani kwenye Kata ya Msongola mwishonimwa wiki. (Picha na Mwenge Said).
MJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Vijijini Allen Bureta  aksisitiza jambo wakakti alipokuwa akizungumza na wana-CCM wa Kata ya Msongola. (Picha na Mwenga Said).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA