DK. MUKANGARA MGENI RASMI KILI MARATHON

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Executive Solution, Aggrey Marealle (KATI).ambaye ni  waratibu wa mashindano ya Kilimanjaro Marathon  akisisitiza jambo kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo  Dk. Fennela Mukangara, jana jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Executive Solution, ndiyo waratibu wakuu wa shindano hilo ambapo linatarajiwa kufanyika mjini Moshi Machi 3, mwaka huu, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mukangara. Kulia ni Mkurugenzi wa  Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo.  (PICHA NA BENJAMIN SAWE)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.