HALMASHAURI KUU YA CCM YAENDELEA NA VIKAO DODOMA.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi wakiimba nyimbo za chama ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa  Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma leo kwaajili ya semina na baadae Kikao cha NEC. Kwenye mkutano huo JK amekemea viongozi wanaoendeleza makundi ndani ya chama hicho ndio wanasimamia kujenga migogoro ndani ya chama.
mada nne zinazojadiliwa ni Nafasi  ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu katika Uongozi pamoja na Maadili ya Viongozi. Nyengine ni mjadala wa Maazimio ya Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika mwishoni mwa mwaka uliopita pamoja na mkakati wa kukuza ajira Nchini ambalo limo ndani ya  ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda na Mwenzake Spika wa Baraza la Wawaklilishi Zanzibar Mh. Pandu  Ameir Kificho wakiwa katika Semina ambao nao pia ni Wajumbe wa Nec ya CCM.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Tanzania Bara Ndugu Mwigulu Nchemba na Mwenzake Balozi Seuif Ali Iddi ambae pia ni Makamu wa pIli wa Rais wa Zanzibar.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.