IKULU YA RAIS MISRI YALINDWA

Askari wa kupambana na fujo wa Misri wamewekwa kwa wingi nje ya ikulu ya rais mjini Cairo baada ya mapambano ya Ijumaa usiku baina ya wanajeshi na waandamanaji waliowatupia mabomua ya petroli.
Walinzi nje ya ikulu ya rais mjini Cairo
Muandamanaji mmoja alikufa baada ya kupigwa risasi na zaidi ya 50 walijeruhiwa.
Maandamano hayo ambayo piya yalifanywa katika miji mengine kadha ya Misri, ndio ya karibuni kabisa katika mfulululizo wa maandamano ya kumpinga Rais Mohammed Morsi wa chama cha Muslim Brotherhood.
Upinzani unamlaumu kuwa amepindukia madaraka yake.
Televisheni imeonesha matokeo ya maandamano ya jana usiku - mawe na takataka zimejaa mabara-barani.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.