MWAJUMA JIMAMA AFANYA VITU VYAKE MBELE YA MASHABIKI TCC CHAN'GOMBE

Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' akifanya vitu vyake mbele ya mwimbaji wa bendi ya Mashauzi Classic, Isha Ramadhani wakati bendi hiyo ilipofanya onesho lake katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es salaam picha na www.burudan.blogspot.com
Mmoja wa mashabiki wa fani ya unenguaji  kulia akimpingia makofi baada ya kumtunza Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' ambaye anaonekana akifanya vibwanga vyake  wakati wa maonesho ya bendi ya Mashauzi Classic katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es salaam 
Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' akifanya vitu vyake mbele ya mwimbaji wa bendi ya Mashauzi Classic, Isha Ramadhani wakati bendi hiyo ilipofanya onesho lake katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es salaam picha na www.burudan.blogspot.com
Isha Ramadhani kushoto akiwa na mnenguaji maarufu Mwajuma Thabiti ' Mwajuma Jimama'
Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' akifanya vitu vyake mbele ya mwimbaji wa bendi ya Mashauzi Classic, Isha Ramadhani wakati bendi hiyo ilipofanya onesho lake katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es salaa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.