Picha matukio mbalimbali Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Said Mwema (kushoto) akimkabidhi Hati ya Kata bora kwa kuimarisha ulinzi na usalama kwa kutumia dhana ya Polisi Jamii na Ulinzi shirikishi Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya Diwani Athuman kwa niaba ya Kata ya Isansa na Tarafa ya Igamba zote za Mkoani Mbeya ambazo zimezawadiwa kila moja Hundi ya Shilingi Milioni moja juzi mjini Dodoma. Picha zote na Hassan Mndeme -Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saidi Ali Mwema akitoa  mada kwenye mkutano mkuu wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoendelea mjini Dodoma katika ukumbi wa Pius Msekwa.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Davis Mwamunyange akitoa  mada kwenye mkutano mkuu wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoendelea mjini Dodoma katika ukumbi wa Pius Msekwa.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Said Mwema (kushoto) akimkabidhi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Visiwani Zanzibar, Kamishna Msaidizi, Aziz Juma Mohamed, hundi ya shilingi milioni moja ya Jimbo la Mji Mkongwe ambalo limekua bora kwa kuimarisha ulinzi na usalama kwa kutumia dhana ya Polisi Jamii na Ulinzi shirikishi kwa kipindi cha Mwaka 2012.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.