Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Dk. Emmanuel Nchimbi (katikati) akiwa katika picha na Mbunge wa Uingereza, Lord Dholakia (kushoto) pamoja na Ofisa wa Ubalozi wa Uingereza nchini, Julian Chandler.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Dk Emmanuel Nchimbi (kulia) akifurahi jambo na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja wakati walipokuwa wanaenda sehemu ya chakula hotelini hapo. Kushoto ni Ofisa wa Ubalozi wa Uingereza nchini, Julian Chandler.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Mbunge wa Uingereza, Lord Dholakia (katikati), ambaye amekuja nchini kwa ziara ya kikazi. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali John Minja. Waziri alibadilishana mawazo na mbunge huyo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Dk Emmanuel Nchimbi (wa tatu kutoka kulia) akizungumza na Mbunge wa Uingereza, Lord Dholakia (wa pili kutoka kulia), na maofisa mbalimbali wa ubalozi wa Uingereza nchini. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali John Minja, wengine ni maofisa wa wizara hiyo.
Mbunge wa Uingereza, Lord Dholakia (wapili kutoka kulia) akizungumza katika kikao hicho.
--
PICHA ZOTE NA-FELIX MWAGARA 
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI  
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.