SEKERETI, MAKHABANA WAAZIMIA KUKONGA NYOYO ZA WAPENZI WA MUZIKI WA INJILI TAMASHA LA PASAKA

 Msanii wa muziki wa Injili Ephraem Sekereti kutoka Zambia, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu ushiriki wake katika Tamasha la Pasaka kesho kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Tamasha hilo, Alex Msama na Msanii Sipho Makhabana kutoka Afrika Kusini.
 Msanii mahiri wa muziki wa Injili, Sipho Makhabana kutoka Afrika Kusini akiungumza katika mkutano na wanahabari, juu ya ushiriki wake katika tamasha hilo.
Msanii kiongozi wa kundi la Ambassador Christ la Rwanda, Sozy Joram, akizungumza katika mkutano huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA