SIPHO MAKHABANA WA AFRIKA KUSINI AWASILI KUNOGESHA TAMASHA LA PASAKA DAR

Msanii wa Muziki wa Injili, Sipho Makhabana kutoka Afrika Kusini, akilakiwa na mtoto  Gloria Kilahilo alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam  usiku, tayari kushiriki leo katika Tamasha la Pasaka kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Msanii wa Muziki wa Injili, Sipho Makhabana kutoka Afrika Kusini, akilakiwa na mtoto  Gloria Kilahilo alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam usiku, tayari kushiriki leo katika Tamasha la Pasaka kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. (PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
Makhabana akiimba moja ya nyimbo zake mbele ya wanahabari. Aliyevaa fulana ni  Mwenyekiti wa Kamati ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA