Kikosi cha timu ya Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ), kilichochuana na timu ya Bloggers FC, katika Bonanza la Vymbo vya Habari, kwenye viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam.
Bendi ya Bongo Extra ikitumbuiza katika bonanza hilo. |
Wanenguji wa bendi ya Bongo Extra wakionesha umahiri wao.
Wanahabari wakikonga nyoyo zao kusakata muziki |
i
Kikundi cha Muziki cha Taarabu cha Jahazi, kikitumbuiza katika bonanza hilo.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo, akihutubia kuelezea udhamini wa kampuni hiyo wa bonanza hilo.
Mwenyekiti wa Taswa, Juma Pinto, akihutubia kabla ya kumkabidhi mgeni rasmi, Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe. |
Waaandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi wakifurahia kombe la ubingwa wa soka.
Wanahabari wananwake wakishindana kucheza taarabu.
Mshindi wa pili wa kucheza taarabu, Upendo, akipatiwa zawadi ya fedha na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi zawadi ya fedha Mtangazaji wa Radio Uhuru, Cecy Jeremia aliyeshinda kucheza taarabu.
Bi Susy (kushoto) akiwa na rafiki yake
Comments