DKT. SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA WIZARA YA MIUNDOMBINU na MAWASILIANO IKULU ZANZIBAR LEO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,( kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi,pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati)akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, (wa tatu kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.