KINANA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI MOROGORO

 Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akisalimiana na  Katibu wa NEC Oganaizesheni Mohamed Seif Khatib alipowasili leo eneo la Nane Nane, mjini Morogoro kuanza ziara ya kikazi ya siku nane katika wilaya zote za mkoa huo.
Kinana akihutubia baada ya kufika eneo la Nane Nane ambapo alipokelewa na wafuasi wa chama hicho

 Waendesha bodaboda wakiongoza msafara wa viongozi wa CCM ulipowasili leo mjini Morogoro


 Mmoja wa wafuasi wa CCM akishangilia huku akiwa amepakiwa kwenye pikipiki zizloongoza msafara huo. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI