MAKAMU WA RAIS DKT. ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UINGEREZA, MARGARETH THATCHER

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Bi. Margareth Thatcher, aliyefariki wiki iliyopita kwa ugonjwa wa Kiharusi. Makamu amesaini kitabu hicho kwenye Ofisi za Ubalozi wa Uingereza nchini zilizopo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Balozi wa Uingereza nchini, Dianne Melrose
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini, Dianne Melrose, wakati alipowasili kwenye Ofisi za Ubalozi huo, zilizopo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusaini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Waziri wa zamani wa Uingereza, Margareth Thatcher, aliyefariki wiki iliyopita kwa ugonjwa wa Kiharusi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Bi. Margareth Thatcher, aliyefariki wiki iliyopita kwa ugonjwa wa Kiharusi. Makamu amesaini kitabu hicho kwenye Ofisi za Ubalozi wa Uingereza nchini zilizopo jijini Dar es Salaam.Picha na OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI