TANZANIA NI YA PILI KWA UMASIKINI AFRIKA MASHARIKI

Bungeni Leo tunajadili Bajeti ya Wizara ya Kilimo. Waziri kaomba tshs
>> 333bn tu Kwa ajili ya Wizara yenye kuhusisha zaidi ya 70% ya Watanzania.
>> Bajeti ya Kilimo ni 1.8% tu ya Bajeti nzima ya Serikali. Tunajua kuwa
>> Umasikini wa Watanzania upo vijijini na shughuli yao kubwa ni Kilimo.
>> Hata
>> hivyo tunawezaje kuondoa umasikini wakati sekta ya watu Masikini
>> haijaliwi
>> kabisa? Jana #IMF na #BenkiYaDunia wametoa Global Monitoring Report
>> ambayo
>> inaonyesha kuwa Tanzania Ni nchi ya pili kutoka mwisho kwa umasikini
>> katika
>> nchi za EAC, ikiishinda Burundi tu. Taarifa inasema 68% ya Watanzania
>> wanaishi chini ya dola 1.25 Kwa siku chini ya Rwanda 61%, Kenya 43% na
>> Uganda 38%. Ni dhahiri kwa bajeti za namna hii katika Kilimo umasikini,
>> ufukara, udhalili wa maisha utaendelea kuwakumbatia Watanzania.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.