Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiuliza jambo kwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Mwinchumu  Hassan Salum  kwenye chumba cha Kutunzia Kumbu kumbu za Nyaraka za Kuzaliwa wakati wa Kuomba passpoti Nchini
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan  akionyeshwa Vibali vya Ukaazi Nchini na Mkuu wa Kitengo cha kuzalishia Passpot na Ukaazi Haji Hamza wakati wa Ziara ya kutembelea taasisi za Muungano ziliopo Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Muungano Samia Suluhu Hassan akionyeshwa aina mbali mbali za Passpoti ambazo zinatumika hapa Nchini na Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji Passpoti na Ukaazi Haji Hamza Khamis wakati wa Ziara ya kutembelea Taasisi za Muungano zilizopo Zanzibar.Picha na Ali Meja

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.