BREAKING NEEEEEWZZ!!! MFANYABISHARA AJIRUSHA KUTOKA GHOROFA YA 9 KARIAKOO


Wananchi wakiangalia mwili wa aliyekuwa Mfanyabiashara wa katika moja ya maduka ya Kariakoo aliyetambulika kwa jina moja la Shirima, aliyejirusha kutoka ghorofa ya 9 ya Hoteli ya Concord ni leo mchana huu maeneo ya Kariakoo.

Mashuhuda wa tukio hilo lililotokea, wameeleza kuwa walipatwa na mshuko mkubwa baada ya kusikika kishindo cha kitu kilichoangua na kuhisi labda ni 'yale yale' ya maghorofa kuporomoka yenyewe baada ya kuguswa na Kunguru, kumbe ni mtu huyo aliyeanguja juu gari hilo.

Na baada ya watu hao kusogea eneo hilo walikuta ni mwili wa mtu aliyeanguka kutoa ghorofani ambaye baadhi yao waliweza kumtambua kwa jina moja kuwa ni Shirima.  Baada ya tukio hilo wasamaria wema wamemkimbiza mtu huyo hospitali kutokana na kwamba alikuwa bado akipumua

Mfanyabiashara huyo alijirusha toka ghorofani na kuangukia juu ya Gari aina ya Toyota Corolla ambayo ni taxi iliyokuwa imeegeshwa nje ya hoteli hiyo. Haikuweza kufahamika chanzo cha jamaa huyo kujirusha kutoka ghorofani. Picha kwa hisani ya Mtaa kwa Mtaa. Kwa hisani ya Sufiani Mafoto

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.