Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi bendera kiongozi wa batalioni ya wanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania ( JWTZ), wanaokwenda kujiunga na Jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,
katika sherehe za kuwaaga zilizofanyika Msangani, Kibaha, Mkoa wa Pwani jana. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Shamsi Vuai Nahodha na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wanashuhudia. (PICHA NA IKULU)

Comments