KINANA, NAPE WAFANYA KWELI LUDEWA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiongoza msafara akitokea shina la CCM nanba 6 kuongea na wanachama katika Kijiji cha Mlangali, Ludewa leo, ambapo wapo kwenye ziara ya kikazi ya kuimarisha uhai wa chama.Nyuma yake ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye

Kikundi cha sanaa kiktumbiza kwa ngoma ya chioda wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwenye Uwanja wa Ludewa Mjini Ludewa.
Mbunge wa Jimbo la Ludewa , Deo Filikunjombe, akielezea utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika jimbo hilo.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano  huo wa hadhara ambapo alivinanga vyama vya siasa kwa kuendekeza siasa za uchochezi nchini.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwwanja wa Ludewa, Mjini Ludewa .
Baadhi ya wanachama wapya wa CCM, wakila kiapo cha utii, mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) baada ya kukabidhiwa kadi wakati wa mkutano huo.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.