MBUNGE MSIGWA KUFIKISHWA MAHAKAMANI WAKATI WOWOTE SASA , WANANCHI KIDUCHU WAFIKA MAHAKAMANI -LIVE

 Baadhi ya  wafuasi   wachache  wakielekea  mahakamani  kusubiri kesi ya  mbunge  wa jimbo  hilo Mchungaji Msigwa na wenzake
 Mmoja kati ya  watumishi  wa Mahakama kuu kanda ya  Iringa Bw  Bawadhil akiwa katika viwanja  vya  mahakama hiyo leo majira  ya saa 5.05 asubuhi  hii
 Watumishi  wa mahakama kuu kanda  ya Iringa  wakijuliana hali
 Hawa  ndio  wananchi  waliofika mahakamani hivi  sasa  kusubiri  kusikiliza  kesi ya mbunge na machinga
 Hili  ndilo gari la mbunge Msigwa ambalo jana lilifika eneo la Mashine tatu kabla ya mambo kuharibika
Ulinzi mkali  wa  polisi  waimarishwa  kituo cha polisiPICHA NA HABARI KWA HISANI YA FRANCIS GODWIN BLOG
 
Dakika  chache  kuanzia  sasa  mbunge na  wenzake  watafikishwa mahakamani endelea kutembelea mtandao  huu  wa www.matukiodaima.com tupo 'LIVE'

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.