NMB YASHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA TANGA

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Kigoda akipewa maelezo juu ya huduma na bidhaa zinazotolewa na benki ya NMB kutoka kwa Meneja wa NMB Tawi la Madaraka,  Juma Mpimbi alipotembelea banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara mkoani Tanga.DSC_0435 
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Kigoda akisalimiana na Ofisa wa benki ya NMB tawi la Madaraka, Elvis Shao alipotembelea banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara mkoani Tanga. Wakishuhudia ni  Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Chiku Gallawa (pili kulia) na Meneja wa NMB Tawi la Madaraka,  Juma Mpimbi
DSC_7007 
Maofisa wa benki ya NMB Tawi la Madaraka wakiwa katika banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara yaliyozinduliwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Kigoda mkoani Tanga.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.